Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi: Uchunguzi wa kitabu cha Mathayo 18:15-17 by F. Wayne Mac Leod

Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi: Uchunguzi wa kitabu cha Mathayo 18:15-17

byF. Wayne Mac Leod

Kobo ebook | March 17, 2015

Pricing and Purchase Info

$2.99

Prices and offers may vary in store

Available for download

Not available in stores

about


Sale price: CAD4.99
Quantity:
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25

Hatuwezi kuepuka kabisa matatizo yanayotokea kati ya mshirika na mshirika kama inavyokuwa kati ya watoto wetu katika familia. Bwana Yesu alijua ya kuwa mgongano hauna budi kutokea ndiyo maana akatoa namna ya kukabiliana nayo katika maadiko. Kwa umuhimu wa pekee kabisa katika maandiko kutoka Mathayo 18:15-17. Kifungu hiki kinatuonyesha jinsi ya kukabiliana na matatizo baina ya muumini na muumini. Vinatoa jinsi iliyosalama katika kumrejesha ndugu aliyeanguka na kuwatia moyo washirika wa kawaida, ili kutilia maanani suala la kuwarejesha na kuwasaidia ndugu walioanguka ili kuwatia moyo katika wakati wao wa udhaifu.

Kitabu hiki kinachunguza mafundisho ya Yesh katika somo hili no kutuonyesha jinsi tunavyowesa kuyatumia katika misukosuko mbalimbali tunayokutana nayo.

Title:Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi: Uchunguzi wa kitabu cha Mathayo 18:15-17Format:Kobo ebookPublished:March 17, 2015Publisher:Light To My Path Book Distribution

The following ISBNs are associated with this title:

ISBN - 10:1927998328

ISBN - 13:9781927998328

Look for similar items by category:

Reviews