Kondoo Aliye Potea: Fundisho la fumbo la Yesu Katika Luka 15:3-7 by F. Wayne Mac Leod

Kondoo Aliye Potea: Fundisho la fumbo la Yesu Katika Luka 15:3-7

byF. Wayne Mac Leod

Kobo ebook | February 27, 2013

Pricing and Purchase Info

$0.99

Prices and offers may vary in store

Available for download

Not available in stores

about

Hili ni fundisho la Luka 15:3-7. Katika njia nyingi fumbo hili linahusu namna ya kuwa Mchungaji mwaminifu wa Kondoo wa Mungu. Inafunua moyo wa Bwana Yesu kwa watu wake wa Thamani ambao wamepotea nji. Ni wito kwa wote ambao watasikia mafundisho yake kuusikia moyo wa Mungu kwa ajili ya wale mbao ushirika wao na furaha vimezuiliwa. Huduma ya kurejesha kondoo kwenye ushirika si kazi rahisi. Ni kwa mtu ambae, anapendezwa na moyo wa Mungu. Nina shawishika kuwa utajri wa Baraka zake zitakaa juu ya wale wanaoshiriki kujali kwake kwa ajili ya Kondoo waliokwenda mbali.

Title:Kondoo Aliye Potea: Fundisho la fumbo la Yesu Katika Luka 15:3-7Format:Kobo ebookPublished:February 27, 2013Publisher:Light To My Path Book Distribution

The following ISBNs are associated with this title:

ISBN - 10:192744067X

ISBN - 13:9781927440674

Reviews